Tuesday, September 4, 2007

mambo ya kutanua malipo yake ndio haya


yote haya yalitokea leo asubuhi ya tarehe 04\09\07
wakati dereva alipoona foleni basi yeye akachukua maamuzi ya kutanua kushoto
basi likamshinda na kutmbukia kwenye bonde dogo Lakini watu
walitoka salama na majerui kidogo hiyo ilikuwa
katika barabara ya bagamoyo karibu na inter chick au maliasiri



panapotokea ajari wale wajanja wenye macho yasiyo
tulia ndio hawa hapa Hapa sio wanatoa msaada bali
wanatafuta vitu vilivyobaki katika gari mmhhhhmhh

Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu