Sunday, September 2, 2007

Ebwana watanzania tupo mbele kwenye uzalendo




Wana wajanja walisema tunashangweka basi jana Watazania walishangweka kweli katika kushabikia timu
ya taifa na kupelekea kutoka kidedea na ushindi banaaaaaaa kila kona jana bendela ya taifa na si uchama Bwana wacha hiyo kitu imuvuzishwe hivyo hivyo

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu