Saturday, September 8, 2007

Leo hipo kazi nayo ni moja kumchapa bakola msumbiji kwa mabao mengi





mdau katika harakati ya kwenda
uwanja wa taifa kuipa nguvu timu yetu ya Taifa


Uwanjani ulinzi ni wa uwakika pia
jeshi la Polisi lipo mbele kuweka mambo sawa katka
uwanja wa taifa


Walemavu nao wapo mbele kuipa suppot
timu yetu ya taifa


Uzalendo ndio huu pamba gari yako kwa bendela
za taifa lenye amani kila kona

Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu