All over the world, time is running out for innocent boys and girls affected by poverty, conflict and natural disasters.
Through the generosity of donors like you, Save the Children has already reached more than 73 million children with emergency aid and with long-term programs and activities that fight hunger and promote medical care and education. In desperate need of medical aid, these children could turn to our community health worker. What if we hadn't been there to help? But millions more children are still threatened.
Time is even more critical because your gift will be doubled when you donate by midnight, December 31. A generous supporter has offered to match every dollar donatedto our year-end campaign – up to $200,000. But your gift must be received in 2011 to qualify.
As the year ticks to a close, please resolve to join us. After all, every child deserves a happy New Year!
Dullonet inapenda kuwajulisha wapenzi wa website yao ya www.dullonet.com/kuwa kuna matatizo ya kiufundi hivyo haipatikani hewani katika mfumo uliozoeleka, lakini pia wanapenda kuwafahamisha kuwa wanaweza kupata habari za michezo burudani na sanaa kutoka katika webpage yetu ya www.dullonet.com/sports.
Zaidi wanapenda kuwaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao lakini wanaendelea kulishughulikia tatizo lilotokea.
Watu zaidi ya 10 wameteketea kwa moto katika ajali ya basi la abiria la DELUXE EXPRESS linalofanya safari zake kati ya ya Dar es Saalam na Dodoma, baada ya basi hilo kupasuka tairi la mbele na kupinduka katika Bonde la Bamba katika halmashauri ya mji Kibaha.
Kwa mujibu wa taarifaya Mganga mkuu wa hospitali ya Tumbi,BW. ANDREW ISAACK LWALI amesema majeruhi ambao wamepokelewa ni 34 ambapo wanaume 26 na wanawake 8 na kati yao kuna watoto wanne ambao ni wawili wenye jinsia ya kike na wawili wa kiume ambao walikuwa na miaka kati ya miezi sita na miaka 12.
DOKTA LWALI ameongeza majeruhi 32 walipatiwa huduma ya kwanza kwa baadhi yao kushonwa na baadhi yao kufungwa POP na matibabu mengine madogo ya kawaida ambapo wengi wa majeruhi waliondoka mara baada ya matibabu, wakati wengine wawili ambao ni wanawake wamelazwa mmoja akiwa ni Mama mjamzito BI. SIKUZANI HAMIS ambaye ni muuguzi katika hospitali ya Makole mkoani Dodoma ambaye amevunjika mbavu.
Wakati majeruhi mwingine BI. CECILIA NGIRAO ambaye anasumbuliwa na maumivu ya kiuno ambayo yamesababishwa na ajlai hiyo, na wanaendelea kupatiwa matibabu baada ya kufanyiwa uchunguzi, aidha amesema mpaka sasa hakuna maiti yoytote ambayo imefika hospitalini hapo kutokana na wengi wao kubakia majivu na mifupa na inasadikika watu zaidi ya kumi wameuwawa na moto huo.
Akizungumzia uwezo wa hospitali kupokea wagonjwa wengi kwa mara moja, amesema wamekuwa wakati mwingine wakipata wakati mgumu kutokana na kutokuwepo na madawa ya dharura ya kukabiliana na majanga kama hayo, na hivyo kuwalazimu kutumia dawa ambazo zilikuwa kwa ajili ya wagonjwa wa kawaida kwa kutribia majeruhi, lakini kwa ujumla wamefankiwa kukabiliana na wimbi hilo la wagonjwa wa mara moja kutokqana na uzoefu mkubwa waliuonao kutokana na ajalai kutokea mara kwa mara katika barabra kuu ya Morogoro.
Naye abiria BW. MASHAKA MNYANYINDI amesema chanzo cha ajali hiyo ni kupasuka kwa tairi ya mbele ya basi walilokuwa wamepanda, wakati huo dereva wao alikuwa ana jaribu kulipita gari, na ndipo waliposikia tairi yao ikipasuka na basi lao kuanza kuyumba hali ambayo ilimfanya dereva kushindwa kulimudu gari hilo na kutumbukia bondeni ambapo lilibiringika mara mbili na kuanza kuwaka moto.
BW. MNYANDINDI amesema kilichomuokoa yeye ni kukaa katika viti vya nyuma ya basi hilo, ambapo yeye na baadhi ya waliosalimika walitoka katika sehemu fulani ya basi hilo ambayo ilikuwa wazi.
Mpaka naondoka katika hospitali ya Tumbi jioni hii, hakuna hata maiti moja ambayo ilikuwa imewasili hospitalini hapo na niliweza kushuhudia wafanyakazi wa chumba cha maiti wa hospitali ya Tumbi wakichukua mabeseni na machela na kulega wakielekea eneo la tukio ambapo inasemekana baadhi ya marehemu wanweza kuzikwa katika eneo la tukio.
Habari ni habari kweli...ila kama walivyosema katika habari wengi wanafikiri kula mchicha basi ni umaskini. Pia afadhali walipata hata chumvi ya kuweka kwenye uji ..ila maji yale kunywa binadamu kama yalivyokuwa kweli inaumiza sana ....
A Day in the Life:
Protecting Vulnerable Kids in East Africa
Save the Children's Amy Richmond (right), protects vulnerable kids,
hungry and alone, in East Africa.
What's it really like in East Africa? Who are the relief workers? What do they do? How do they cope?
If you really want to know... Follow a day in the life of Save the Children's Amy Richmond, Child Protection Advisor. Amy works every day feeding hungry kids and protecting the vulnerable – those who are alone, lost, abandoned or orphaned – in the refugee camps of Dollo Ado, Ethiopia.
I wake up every morning with the sun. ... First stop is reception camp where dozens, sometimes hundreds, of children arrive each day. As soon as they're registered, they're rushed into a Save the Children feeding center ...
Your support lets Save the Children relief workers, like Amy, help East Africa's vulnerable children, hungry and alone. With more support, we can help so many more...
One of the major new satellite developments to happen during the past 12 months was Ka-band’s evolution from a concept to a reality in orbit. The bandwidth has taken off with considerable momentum and is set to accelerate at a blinding pace as $5 billion in new Ka-band spacecraft are set to launch through 2014 and place unprecedented amounts of new bandwidth into the sky. At this year's IBC conference, satellite companies and industry organizations have been using the event forum to showcase new Ka-band technology on the ground and host discussions on what role may Ka-band have in preserving satellite’s competitive edge. While Ka-band has already been deployed for broadband access and TV distribution in the United States, other regions have not had access to the appropriate technologies to support these applications. Newtec CEO Serge Van Herck recently told Via Satellite that he believes this is about to change, as multi-service platforms become a reality at IBC. “The additional applications will rapidly add value to Ka-band satellite networks and provide a way of dramatically increasing the return on investment for satellite and service operators, by speeding up the fill rate of Ka-band satellites,” he said, “Additional services will generate extra service revenues and provide new offerings to millions of households and businesses, which will help the satellite industry to compete with terrestrial high-speed broadband services.”
Advertisement Satellite TODAY’s White Paper Program
This self-serve program allows you to upload your white paper on SatelliteTODAY.com and connect with satellite professionals interested in your topic or subject matter. Program includes marketing campaign to a targeted list YOU select from Via Satellite’s Purchasing Report.
Learn More Now! Services based on Ka-band have made a significant impact on several operators and their business models as a fair amount of Ka-band satellites were launched to rectify capacity shortfalls. Van Herck counts himself as a believer in the fact that Ka-band has almost become a necessity for satellite players to remain competitive in the long-term. How many other satellite executives will walk away from IBC convinced of the same? Only time will tell.
When 18 month old Bishara was brought into our stabilisation centre, she was severely malnourished, and clinging on to the very edge of life.
Find out how she is 6 weeks later.
SERIKALI BADO INASHUGHULIKIA MASUALA YA RAMBIRAMBI NA FIDIA - SADICK
KAIMU MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw. Meck Sadick Serikali bado inashughulikia suala la rambirambi na fidia kwa walioathirika kutokana na mlipuko wa mabomu katika ghala la jeshi huko Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.
Ametoa taarifa hiyo leo mchana (Jumatatu, Februari 21, 2011) wakati akitoa taarifa kwa wake 26 wa viongozi mbalimbali wa kitaifa walioambatana na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda kwenda kutoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watu waliopata maafa kutokana na mlipuko wa mabomu hayo.
“Bado tunashughulikia suala la mkono wa pole kwa wafiwa, pia tunaangalia fidia kwa waliopata ulemavu wa kudumu... ni suala ambalo linaweza kuchukua muda kidogo lakini tumekamilisha mambo ya mazishi kwa kuwafikisha katika maeneo waliyotaka wenyewe wakazikwe,“ alisema.
Alisema Serikali iligharimia kusafirishwa miili ya watu wanne kwenda wilayani Rorya (Mara); na miiili mengine mmoja mmoja kwenda Kyela (Mbeya); Kagera; Newala (Mtwara); Lushoto (Tanga) na Manerumango (Pwani).
Alisema hadi sasa kuna miili minne katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambayo bado haijatambuliwa, miwili kati ya hiyo ina majina na mwingine unafanyiwa uchunguzi wa kitabibu kwa sababu uliharibiwa vibaya na mlipuko na hautambuliwi ni wa jinsi ipi.
Akizungumzia kuhusu zoezi zima hadi sasa, Kaimu Mkuu huyo wa Mkoa alisema kwamba wanakabiliwa na changamoto ya kupata picha kamili ya ukubwa wa maafa kutokana na jinsi milipuko ilivyotokea na wamewaomba wenyeviti wa mitaa wawasadie kuratibu zoezi hilo.
“Tunakabiliwa na changamoto ya kubaini idadi kamili ni nyumba ngapi zimebomoka kabisa au kidogo na zinahitaji msaada wa aina gani, kuna ambazo zimebomoka kabisa, nyingine zimeezuliwa mapaa, ziko zilizoharibiwa ukuta mzima au sehemu tu, ziko zenye nyufa tu na nyingine ni fensi tu.“
Alisema kwa nyumba ambazo zimebomoka kabisa, wanawasiliana na Chama cha Msalaba Mwekundu na Idara ya Maafa katika Ofisi ya Waziri Mkuu na kuwajengea mahema ili waweze kuendelea kuwepo katika eneo walilokuwa wakiishi.
“Kama nyumba ilikuwa na vyumba vitatu, tunawajengea mahema matatu ili kuwastahi wakubwa na watoto wakiwa katika mahema tofauti wakati taratibu nyingine zikiendelea. Kama nyumba ilikuwa na wapangaji wanne kila mmoja na chumba chake nao pia tunawajengea mahema manne ili wawe na maisha yaleyale,“ alisema.
Misaada iliyotolewa ni kilo 200 za mchele, kilo 100 za sukari, kilo 500 za unga wa mahindi, mafuta ya kujipaka katoni moja, sabuni za kufulia katoni moja, dawa za meno katoni moja, doti za khanga 55 ambayo ina thamani ya sh. milioni 1.5/-. Pia walitoa mabegi matatu ya nguo za wakubwa na watoto ambazo thamani yake haikuweza kupatikana mara moja.
Baadhi ya wake wa viongozi walioambatana Mama Pinda ni Mke mkubwa wa Makamu wa Rais, Bi. Zakia Bilal, Mke mdogo wa Makamu wa Rais, Bi. Asha Bilal, Mama Regina Lowassa, Mama Esther Sumaye, Mama Hasina Kawawa, na wake wa Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu wakuu.