Thursday, October 27, 2011

Dullonet inapenda kuwajulisha  wapenzi wa website yao ya www.dullonet.com/kuwa
kuna matatizo ya kiufundi hivyo haipatikani hewani katika mfumo
uliozoeleka, lakini pia wanapenda kuwafahamisha kuwa wanaweza kupata
habari za michezo burudani na sanaa kutoka katika webpage yetu ya
www.dullonet.com/sports.

Zaidi wanapenda kuwaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kutokana na
sababu zilizo nje ya uwezo wao lakini wanaendelea kulishughulikia tatizo lilotokea.

Kwa maoni na ushauri wasiliana nao kwa info@dullonet.com

Asante

Web Admin.-- 

Dullonet Tanzania
P. O Box 34260
Dar Es Salaam

0 Maoni yako/Post comments here:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu