Saturday, December 27, 2008

Vijana Matatani kwa kesi ya kugonga na kuua mtu

Watoto wawili waliomgonga kijana mmoja wakiwa wamekamatwa mikono na Afande Mkubwa tu

Vijana XX wakiwa katika gari yenye namba SR40 0040184 walimgonga kijana mmoja na kufa hapo hapo

Kiukweli umefanya kinyume sana,kwa kuficha nyuso za watuhumiwa na kuonyesha maiti hadharani na mahali pasipoheshimika kabisa.Nafikiri unajua nini Thamani ya UHAI,kumbuka hakuna kilicho bora ndani ya hii dunia kama uhai,hakuna hata uwe na martilion ya pesa,kama una uhai ni bure,kwa hiyo uhai ni kitu kimoja kikubwa na Delicate mno,unahitajiwe uishimiwe kama si kutukuzwa. Kwa hiyo bora uonyeshe sura za watuhumiwa,na kuficha sura ya aliyepoteza uhai,na kutafuta picha yake nzuri ndo unaiweka mtandaoni ili kama kuna watu wanamfahamu waweze kutoa rambi rambia zao.

Nimekupata Ricky

Kijana aliyegongwa anaitwa Ezekiel anayeishi Mbezi makonde juu, aligongwa karibu na maeneo ya kufanyia
mazoezi ya jeshi njia ya kuelekea white sand pale kenye mzunguko

Picha za tukio kwa hisani ya Moshi Kidume Posted by Picasa

Friday, December 26, 2008

Mambo hayo yapo channel Ten

Ni nani? Huyu si mchezo
Mtangazaji wa channel ten anayeitwa ......

Set as Dasktop picture if u like Posted by Picasa

Thursday, December 25, 2008

Posted by Picasa

Mambo ya sikukuu ya Christmas

Jamaa amependeza na rangi yake ya mchanga wa baharini. Yote hayo ni kusherekea sikkuu ya xmas


Huyu naye kazidi mambo ya sikukuu hayo jamani Yote hayo yalikuwa ndani ya coco beach leo


Kikosi cha kuokoa wale watakaopata matatzizo kwenye maji kilikuwapo Tanzania na maendeleo jamaniii
watu kibao katika kusherekea sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kristo




Jamaa wanachekesha hawa ungekuwepo mbavu zingekubana ...



Picho zote kwa hisani yangu na EASTMAN KODAK 650



Posted by Picasa

HERI YA SIKUKUU JAMANI




Posted by Picasa

Wednesday, December 24, 2008

Heri ya Xmass ndugu zangu

Ndugu zangu wapendwa wadau wa blog yetu wote nawatakia heri ya Xmass na mwaka mpya unaokuja
Mpangala na katuni ya leo
Posted by Picasa

Huu ni upuuzi asema Warioba




Posted by Picasa

Msekwa ,Lowasa kortini




Posted by Picasa

IMF gives thumbs up to EPA prosecution:: Subash patel amwaga 'sumu':: Thousands die in Tanzania because of poor sanitation




Posted by Picasa

Kawawa,Lowassa,Msekwa,Warioba, watajwa kortini




Posted by Picasa

Miss Mbeya Nusura wanibake- Alikataa ofa ya bia akaitwa chooni!




Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu