Saturday, December 27, 2008

Vijana Matatani kwa kesi ya kugonga na kuua mtu

Watoto wawili waliomgonga kijana mmoja wakiwa wamekamatwa mikono na Afande Mkubwa tu

Vijana XX wakiwa katika gari yenye namba SR40 0040184 walimgonga kijana mmoja na kufa hapo hapo

Kiukweli umefanya kinyume sana,kwa kuficha nyuso za watuhumiwa na kuonyesha maiti hadharani na mahali pasipoheshimika kabisa.Nafikiri unajua nini Thamani ya UHAI,kumbuka hakuna kilicho bora ndani ya hii dunia kama uhai,hakuna hata uwe na martilion ya pesa,kama una uhai ni bure,kwa hiyo uhai ni kitu kimoja kikubwa na Delicate mno,unahitajiwe uishimiwe kama si kutukuzwa. Kwa hiyo bora uonyeshe sura za watuhumiwa,na kuficha sura ya aliyepoteza uhai,na kutafuta picha yake nzuri ndo unaiweka mtandaoni ili kama kuna watu wanamfahamu waweze kutoa rambi rambia zao.

Nimekupata Ricky

Kijana aliyegongwa anaitwa Ezekiel anayeishi Mbezi makonde juu, aligongwa karibu na maeneo ya kufanyia
mazoezi ya jeshi njia ya kuelekea white sand pale kenye mzunguko

Picha za tukio kwa hisani ya Moshi Kidume Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu