Tuesday, December 23, 2008

Maisha ni wengine kupata tabu na wengine kupata rahaa



Hapa Jerry wa ITV akimuoji mtoto aliyekutwa amekatwa katwa katika mwili wake na watu tusiowajua


Kama kawaida yetu tunajazana kibao kila mtu anataka yeye aone kwanza


Hiki sio kiota cha ndege bali ni nyumba ya huyo mtoto aliyojenga juu ya mti! Bwana maisha hayaaaaa


Hapa watu wenye imani walimfunika huyo mtoto .Tukio lenyewe limetokea leo maeneo ya bonde la mkwajuni K-ndoni
Inasemekana Mtoto alipigwa huko Mwananyamala na watu tusiowajua na kumkatakata mwili wake
Baadaye huyo mtoto akajikongoja mpaka kwenye maskani yake yalio juu ya mtii. Alipozidiwa akashuka na kulala
njiani, ndipo watu walipoanza kujazana na ukiona wenzako wanashangaa nawe utataka kushangaa pia ndipo nami nikataka kujua kulikonii

Picha zote Nokia N80

Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu