Tuesday, November 22, 2011RAIA WOT WE WA TANZANIA WANAOISHI ULAYA ! WAANZA KWA KASI!
 KUSHEREKEA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA 
 
SHANGWE KUANZIA MÜNCHEN hadi BERLIN HAKUNA KULALA MTU !

LIVE ! Ngoma Africa Band aka FFU ,Jumamosi 3 Dec 2011,MÜNCHEN  
Jumamosi 10-12-2011 Berlin, Live Ngoma Africa band

Watanzania wanaoishi nchini Ujerumani wanaanza kusherekea  sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara,
kwa vishindo na vilivyochanganyika na shangwe zisizo mfano, kuwa siku ya Jumamosi 3 -12-2011 Uzinduzi wa
sherehe hizo utaanzia mjini München,katika mtaa wa Siebold Str,11,majira ya saa 10 alhasiri, na usiku bendi maarufu ya
muziki wa dansi Ngoma Africa Band wanatarajiwa kutumbuiza katika sherehe hizo za kihistoria.
 
Huko Mjini Berlin ,ambako ndio makao makuu ya ujerumani,kuanzia siku ya 9.Dec.2011 mji huo utatingishika na
sherehe hizo siku ya JUMAMOSI 10 Dec 2011 ndio siku ambayo watanzania na marafiki wa watanzania,wakiwemo
wahisani ,watajimwaga uwanjani kusherekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara, bendi ya muziki kikosi kazi cha
NGOMA AFRICA BAND aka FFU ambacho kinatazamiwa kumwaga burudani ya muziki kitakuwepo uwanjani,
katika usiku usiokucha, Ngoma Africa band pia wanatamba na CD mpya ya "Shangwe 50 Uhuru  Anniversary",
ambayo imeshaanza kutingisha katika vituo mbali mbali vya Redio ndani na nje ya Tanzania,pia inasikika
 
WATANZANIA WANAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI ! Kama wahenga wanavyosema
CHEREKO ! CHEREKO ! NA MWENYE MWANA !

0 Maoni yako/Post comments here:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu