Friday, March 25, 2011

Ukiona kimya basi kuna jambo

Jamani kila kitu kina sababu yake.

Basi kutopatikana habari hapa kennedytz basi kuna linalonisibu.

Sijui kama mnaweza kunisaidia katika hilo au ndio .....

Nilijaribu kulipigia kifua lakini sasa maji yamenifika shingoni.

Sina budi kujiokoa, nisije nikazama kwenye maji yanayojaa kwa kasi kubwa.

Lakini ninalowaza ni kujitokeza wa kuniokoa nisizame kwenye maji haya.

10 Maoni yako/Post comments here:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu