Wednesday, August 8, 2007

SALAMA MWANA WA JABIR NA CHANNEL FIVE YAKE

`

Ndugu Msomaji kipindi cha planet bongo cha tarehe 8/8/2007 bibie Salama Kupitia kituo cha channel five kinachopatika Tanzania yote
africa yote na maeneo ya europe. Tv inayopendwa na watu wengi zaidi Bongo Land Bibie aliplay Video ya Cinderela ya msanii Ali Kiba
kuwa hiyo video ni mbaya je?
[1] Kwa kuwa kituo kinapatika Tanzania kote na africa yote huko ni kumpunguzia soko msanii
[2] Hiyo tabia ikiachiwa si wasanii mauzo yao yatapungua

Mimi sina mengi wewe tuma Maoni yoko tukusikie na Salama akusikie
Posted by Picasa
  • Cinderella
    Mara ya mwisho mimi na wewe kuonana kipindi twasoma shule ya msing kigoma
  • Najua ulinipenda ila hukutaka penzi kulilinda
  • Ungesema mapema
  • iliniuma sana
  • Mm leo niko Dar
  • Aliyenipenda nishamuoa
  • Je wataka kumjuajina?
  • Aitwa Cinderella
  • rudi home wewe
  • Rudi nyumbani
  • Wasalimie Kigoma

Ulinitesa sana

  • Sababu nilikupenda sana
  • Kijijini kwa bibi kigoma
  • Iliniuma sana
  • Mimi leo niko Dar
  • Aliyenipenda nimeshamuoa
  • Je wamtaka kumjua jina
  • Rudi home wewe
  • Wasalimie Kigoma
  • Waambie nimeshaoa
  • Uliniadi mapenzi ni kweli ulinitekaKadri siku zilivyozidi baby ukanitesaMamy mara uko bize mamyMi mshamba wa mapenziSi ndo wakashare namiKila ninapokuona,Ninapokuona Moyo unazima nakumbuka tu KigomaNakosa raha mwenyewe si unanionaIla Cinderella kapoza moyo kuchomaMmmh!Mi nachoka haki ya munguInga(wa) ni gani kiasi baby najua machunguNingetaka kuwa naweNingetaka kuwa naweNingetaka kuishi naweIla tu mm nimeshabainiHiyo ni true mamyNishampata mwingine ambaye anayenifaa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu