Saturday, February 23, 2008

Kuna shida gani katika magari yanayobeba makontena?

Fiat iliamua kuwacha njia na kufuata mfereji wa maji si hatari jamani .......

Yamakuwa yakianguka mara nyingi na makontena yenye mizigo, jeshi la polisi usalama

barabarani watupie jicho upande huo

Eneo la tukio ni Buguruni after taa za uhuru na mandela
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu