Thursday, June 19, 2008

Mdundo wa Ngoma Africa band umekuwa gumzo la kimataifa!!!!!!

kutokana na taarifa zilizochapishwa na jarida moja la nchi za Nordic huko scandinavia

bonyeza hapa click me here ambao utawanya habari katika nchi za Sweden,Norway,Finland,Iceland,Denmark, jarida hilo limeandika kuwa bendi ya mziki wa dansi ya kitanzania mdundo,wake unawasha moto mkali huko ughaibuni,kikosi hiko

kinacho ongozwa na Ebrahim makunja a.k.a Ras Makunja ambaye ndie kiongozi na mtunzi

wa wimbo huo "Apache wacha Pombe".kama kawaida yao wakishafyatua huwa wanaweka

mambo hewani na kuacha moto wa mziki uwake.

Jarida lingine lililoandika habari za wakali wetu hawa ni Cost week la kenya bonyeza hapa Gonga hapa

http://www.coastweek.com/3124-19.htm

pia habari hizo zipo katika jarida la Bizcoummunity la afrika kusini.habari za song jipya hilo zinavuma kila kona duniani!!!

na kuhufanya mziki wa dansi wa tanzania kukubalika kimataifa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu