Thursday, April 23, 2009

Jamani,maisha haya!

Majonzi na simanzi zimetawala kwangu. Jamani nimefiwa na baba yangu mzazi, kutokana na msiba huu blog yenu itakuwa kwenye msiba
OpenID nukta77 said...

Kennedy, Pole kwa msiba!
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akupe faraja katika kipindi hiki kigumu cha majonzi na huzuni ya kumpoteza mzazi wako.
Mungu aipe faraja familia yenu!
Apumzike pema Mzee Kimaro!

Thu Apr 23, 11:36:00 AM EAT

Delete
Blogger EDWIN NDAKI said...

Duh!pole sana Kennedy kwa msiba uliokupata wa mzee wetu.

Jipe moyo,sisi wote duniani ni wasafari na mzee wetu katutangulia nasi tutafuata.

Kikubwa tuzidi kumuombea mwenyezi mungu aipumzishe mahala pema peponi.Amina

Bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe.

Thu Apr 23, 11:57:00 AM EAT

Delete
Anonymous Anonymous said...

Pole sana na kufiwa,Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.Tupo pamoja katika kipindi hiki.

Thu Apr 23, 01:27:00 PM EAT

Delete
Anonymous Anonymous said...

pole sana mkuu..MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI..!

Thu Apr 23, 02:07:00 PM EAT

Delete
Anonymous Anonymous said...

pole sana, jipe moyo hiyo ndiyo njia yetu sote ni suala la ratiba tu. God is always choosing the best.

Thu Apr 23, 02:19:00 PM EAT

Delete
Blogger Tram Almasi said...

Pole sana, Bwana ameleta na Bwana ametwaa. Nakuombea faraja katika kipindi hiki kigumu kwako na familia yako kwa ujumla.

Thu Apr 23, 02:45:00 PM EAT

Delete
Anonymous Anselm said...

Pole sana Kaka kwa msiba huu mkubwa,MUNGU akutie nguvu na kukuwezesha kusimama katika imani yake.

Thu Apr 23, 03:54:00 PM EAT

Delete
Anonymous Anonymous said...

Pole sana ndugu yetu?

Thu Apr 23, 04:55:00 PM EAT

Delete
Anonymous Anonymous said...

Pole Sana.

Thu Apr 23, 05:20:00 PM EAT

Delete
Anonymous Anonymous said...

Pole sana Kennedy. Mola amlaze mahali pema peponi

Thu Apr 23, 05:54:00 PM EAT

Delete
Anonymous Anonymous said...

Pole sana Kennedy, mola amlaze mahali peponi

Thu Apr 23, 05:56:00 PM EAT

Blogger kennlu said...

pole sana mkubwa

Thu Apr 23, 06:06:00 PM EAT

Delete
Blogger masterdeeky said...

Pole sana bwana Kennedy kwa msiba Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.

Thu Apr 23, 06:23:00 PM EAT

Delete
Anonymous mwanakijiji said...

Nakupa pole nyingi ya msiba huu mzito kwa familia yako. Mungu awafariji na kuwatia nguvu na aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi amin

Thu Apr 23, 06:49:00 PM EAT

Delete
Anonymous Anonymous said...

Pole sana kaka..Ndo maisha,Mzee Alale Pema Insha'allah!!

Thu Apr 23, 09:17:00 PM EAT

Delete
Blogger Masangu Matondo Nzuzullima said...

Kennedy. Pole sana. Kaza moyo na Mungu atakushika mkono, kukupa nguvu na kukuongoza. Hiyo ndiyo njia yetu sote na Mzee ametangulia tu. Hebu na apumzike salama mpaka tutakapokutana naye siku moja. Uwe na faraja na ubarikiwe sana wewe pamoja na familia yako

Thu Apr 23, 09:24:00 PM EAT

Delete
Anonymous Anna said...

Poleni sana kwa msiba. Mungu wa rehema amlaze pema peponi na mwanga wa milele amwangazie...AMEN. Pia wafiwa wote Mungu awape faraja na uvumilivu kwa pigo hili.

Thu Apr 23, 09:42:00 PM EAT

Nicky Mwangoka said..

.
Kaka pole sana, tupo pamoja katika sala kipindi hiki kigumu ulichopata. Tunamwomba Mungu amrehemu na kumweka mahali pema Baba yetu. Apumzike kwa Amani.Amina
Fri Apr 24, 01:55:00 AM EAT


EVARIST said...
Pole sana Mr Kennedy.Japo baba yako mpendwa ametangulia,sie sote ni wasafiri na tunaelekea huko.Mungu amempanda zaidi na kumtanguliza kwake.Pumziko la milele ampe Bwana,na mwanga wa milele amwangazie,apumzike kwa amani,Amina.Again,pole sana Mr Ken.
Fri Apr 24, 03:55:00 AM EAT


Anonymous said...
Pole sana kwa msiba kaka,kila linalotokea limepangwa na Mungu.Mama Malikia


Fri Apr 24, 04:52:00 AM EAT

Anonymous Anonymous said...

Kennedy,

Pole sana kwa kupata msiba wa kufiwa na mzazi wako. Mwenyezi Mungu ndiye anayepanga kila kitu, hana makosa.

Lakini si wewe pekee uliyepata msiba, hata mimi nimepatokwa na ndugu yangu wa karibu "Wakili - Moses Maira", amefariki dunia huko USA, alikokuwa akipata matibabu.

Matayarisho ya kuusafirisha mwili wake kurudi Tanzania, yamekamilika.

Mwenyezi Mungu aziweke roho za marehemu Peponi.

This Is Black=Blackmannen

Fri Apr 24, 08:48:00 AM EAT

Delete
Anonymous BLACKMANNEN said...

Poleni sana wafiwa wenzangu. Kwa hakika mtu unapotokewa na matatizo makubwa kama haya, ndipo unapoona kuwa, kweli sisi ni viumbe wa Mwenyezi Mungu!

Fri Apr 24, 09:02:00 AM EAT

Delete
Anonymous Anonymous said...

Mkuu pole sana, na Muumba akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Bwana alitoa Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe

Fri Apr 24, 09:55:00 AM EAT

Delete
Anonymous DUNDA said...

Pole sana ndugu ndio kazi ya muumba hiyo alituleta na anatuchukua kwani kifo ni maawaidha tosha.
APUNZIKE MAHALA PEMA

Fri Apr 24, 10:14:00 AM EAT

Delete
Anonymous Anonymous said...

Pole sana Mkuu Kennedy. Kila mwanadamu naaini wote ndio tunapo kimbilia na mwisho wetu sote ni kifo. Kilichobaki ni kumwombea Mzee wetu. Poleni sana

Fri Apr 24, 11:15:00 AM EAT

Delete
Anonymous Anonymous said...

Kaka yetu pamoja na familia yako poleni sana kwa msiba wa mzazi wako.Mwenyenzi Mungu awape faraja na nguvu katika kipindi kigumu cha majonzi.Apumzike kwa amani.

Fri Apr 24, 05:06:00 PM EAT

Delete
Anonymous Anonymous said...

Pole kwa msiba,Ni kazi ya mungu.

Fri Apr 24, 06:43:00 PM EAT

Blogger kitegob said...

pole sana kwa msiba huu mzito,tupo pamoja katika sala na Mwenyezi Mungu akupe nguvu kuyakabili haya maana kwa uwezo wake inawezekana.
Apumzike kwa Amani-ameen.

Sat Apr 25, 04:04:00 PM EAT

Delete
Blogger Raymauki said...

kaka pole sana tupo pamoja...its RAY MAUKI here.

Sat Apr 25, 07:15:00 PM EAT

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu