Thursday, August 30, 2007

Kumbuka yaliyotokea poland

ilikua ni vita ya waroma,wayahudi na wagermany hiyo ndio jela kwa karibu..zipo nyumba zaaidi ya 300 zimejengwa ambazo ni jela.
watu walikua wakifungiwa humo kwani walikua hawataki wananchi wao wasambaratike na kuwachukua wananchi wote na kuwaweka kwenye nyumba hizo.utaona nimepiga picha nyuma ya nyumba kuna waya ambao watu walikua wakijalibu kutoroka wanapigwa shoti huko ni poland



Hiyo barabara ya treni ni sehemu ilikua ndio mwisho wa watu wote wanafikishwa hapo unaona kuna nyumba nyingi pembeni basi upande wa kushoto walikua wanachukuliwa watu wenye ujuzi mbalimbali kama huna ujuzi unaenda upande wa kushoto kisha unapelekwa kwenye hicho kinyumba wanachomwa moto, " picha zote zimepigwa na mwakilishi wetu wa blog hii kutoka europe bwanaa"

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu