Sunday, September 23, 2007

Watanzania wakisaka mabaki ya vyuma chakavu




Kuishi mjini wanasema ni shule tosha Wakati ujenzi wa barabara unaendelea
Hapa watanzania wakisaka vyuma chakavu vilivyokutwa kwa wingi katika eneo hilo
mabaki ya mabati na vyuma chakavu vililifukiwa katika eneo hilo siku za nyuma kidogo
Hapo ni Mwenge

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu