Wednesday, October 3, 2007

Kama mkazi wa Dar ni wapi hapa ? mhmhhhh

kama Geti hilo lina kumbukumbu zozote mbona wamelitupa bega!
Tena ni njia ya mkuu wa nchi ya wajanja

Hizi nguzo mbili ni za geti la kuingia wapi??

inaseekana zilijengwa siku za nyuma kidogo Je? ni nani walijenga!

Je lilikuwa ni geti la kwenda wapi? Baharini! au kwenye upande wa viwanja!


Je! ni kweli eneo hilo lina mambo ya mazingara wakati wa jioni?
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu