Thursday, January 10, 2008

Panga la JK Lafanya kazi BOT Amtimua Dr Balali


Mabilioni ya walipa kodi
yalilipwa kwa wajanja hapa
mjini, wakati watanzania wanasota
kulipia matibabu
wengine wanapeta kwa kujenga majumba kwa pesa
za watanzania walipa kodi
Ukikata kona Hapa mjini unapishana na magari
ya mamilioni kumbe .........
Kinachotakiwa sasa sio kulindana sheria ni msumeno
Watapofilisiwa hawa mafisadi ndio mfano kwa wengine

Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu