Saturday, March 22, 2008

Kilaini: Mafisadi EPA warejeshe fedha, riba

HABARI Mtibwa, Polisi Moro zatambiana ::: Ukonga yaandaa bonanza la Pasaka ::: Mbega Arts kusaidia watoto ::: Mkamuenzi Mlay-Kipingu ::: Nafasi ya Rage kujazwa Desemba ::: Wachezaji Simba warudishwa ::: 300 kushindana katika Darts ::: Wanafunzi Dar wamuua kibaka akidaiwa kuiba simu ::: Kilaini ataka wanaosali msituni wachukuliwe hatua ::: Vijana CUF waomba CCM iridhie Mwafaka ::: Wabunge kujadili mpango wa mfumo wa nishati ::: Ushindi, maendeleo ya ngumi Njia pekee ya kumuenzi May ::: Vigogo wa CCM Mvomero watakiwa kuvunja makundi ::: Wanafunzi 16,222 wakosa kidato cha tano nchini ::: Tunataka mrudi na viwango ::: Kilaini: Mafisadi EPA warejeshe fedha, riba ::: Sherehe za Pasaka zinavyodumisha utamaduni ::: Omukama Rumanyika na jinsi alivyosaidia wavumbuzi wa chanzo cha Mto Nile ::: Uhusiano uliopo kati ya kifo na wosia alioacha marehemu ::: Utata wa kisheria wazorotesha maendeleo ya Bonde la Mto Nile ::: Muafaka wa kupeana majobu? ::: Hotspurs yaiadhibu Bad boys ::: Remmy, Chidumule kupamba tamasha la Injili ::: MRFA yamshusha daraja mwamuzi ::: Vodacom kudhamini Fiddle ::: Tutafanya vizuri-Kocha Simba ::: TFF haikuwa tayari kuwa wenyeji wa Kagame ::: Chiligati aagiza tathmini mpya mji mdogo Kibamba ::: Posho ya mafunzo kwa wanafunzi vyuoni kuwa 10,000/- ::: Majambazi waua walinzi wa Jaji mstaafu Mary Longway :::

Ijumaa Mar 21, 2008
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Method Kilaini, akiendesha Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Mburahati, Parokia ya Familia Mtakatifu Dar es Salaam leo. (Picha na Bernard Rwebangira).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Kilaini: Mafisadi EPA warejeshe fedha, riba
ASKOFU Mkuu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Methodius Kilaini amewataka watuhumiwa wa ufisadi katika Akaunti ya



Habari za kawaida
Baadhi ya watoto Waislam wakiwa katika ibada ya sikukuu ya Maulid mjini Dar es Salaam ambapo pia ilikuwa siku ya Ijumaa Kuu ya Pasaka kwa Wakristo.
Wanaomsubiri Yesu vichakani waanza kurejea makwao
Waliofaulu wakosa nafasi kuyingia kidato cha tano
Serikali yashauriwa fedha za EPA zinazorejeshwa na mafisadi zigagwiwe Saccos
Pasaka: Wanaorubuni waumini walinganishwa na wachawi
Kenya: Watumishi wazee hatarini kustaafishwa katika ajira ya serikali
Mgawo wa fedha toka Barrick waleta mgogoro Tarime
Mfumko wa bei wazidi kupanda Tanzania
Nyama Tanzania yadaiwa haina kiwango soko la kimataifa
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu