HABARI INAYOONGOZA LEO::
| ||||
Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Waziri mpya wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani leo Ikulu Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo. (Picha na Mroki Mroki). | ||||
|