Friday, June 6, 2008

Habari za kawaida
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi mwenge Rais wa Rwanda, Paul Kagame ikiwa ishara ya mkutano wa tisa wa Sullivan kufanyika nchini kwake mwaka 2010 katika hafla iliyofanyika Ngurdoto Mountain Lodge juzi.
Bajeti: Serikali yakwepa kuongeza kodi ya mafuta
Silaha zilizotumika kuua wafanyabiashara zawasilishwa kortini Dar
Nauli kupanda baada ya bajeti madereva jeuri kufutiwa leseni Dar
Mkutano wa Sullivan: Rais Kikwete apongeza Vodacom Tanzania
Mkutano wa Sullivan: Al Bashir afananisha waasi na magaidi
Wajumbe wa Sullivan wachangia shule Sh50milioni
Kamati ya Bunge kumweka kitimoto Waziri Mwandosya
Rwanda mwenyeji wa Sullivan 2010

Rais Jakaya Kikwete akizungumza kwenye banda la watoto yatima la Kituo cha Wema cha mkoani Arusha alipotembelea maonyesho ya wajasiriamali jana. (Picha na Athumani Hamisi).
HABARI INAYOONGOZA LEO::

Silaha mahakamani
Silaha mbili za SMG zinazodaiwa kutumika katika mauaji ya wafanyabiashara watatu na dereva wa teksi mmoja, leo ziliwasilishwa


  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu