Wednesday, July 23, 2008

Ilikuwa Safari ya Mwenge kutokea Tegeta lakini mwisho wake ukawa kwenye daraja la
Intechick au karbu na China town
Si cha kushangaa kwani mwendo ndio tatizo
Mungu ni Mkubwa hakuna aliyepoteza maisha
Jamani hizi Break Down zetu zimepitwa na wakati hebu angalia wanavofanya kazi mnhhh

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu