Friday, October 24, 2008

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua shamba la migomba na mibuni katika Parokia ya Kanisa Katoliki la Mengwe wilayani Rombo, akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kilimanjaro. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mohammed Babu na kushoto kwake ni Mbunge wa Rombo, Basil Mramba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Wachina wainyemelea ATC
Serikali inatarajia kuingia ubia na Shirika la Ndege la China Sonangol (CSIL) kwa ajili ya kuliendesha Shirika la Ndege Tanzania

Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu