Thursday, October 16, 2008

Dowans yaibua matata mapya


Mtanzania wa Damu has left a new comment on your post "Dowans yaibua matata mapya":
Ndugu Kennedy, Leo umenishangaza sana hasa kwa kitendo cha kuweka Gazeti la Nipashe Tofauti na Gazeti la leo la Physical. Ni kwanini umeifuta habari ya Msafara wa JK kushambuliwa?
Unamaslahi gani hadi ubadili? Napoteza imani na blog hii.
KENNEDY
Mtanzania wa damu, kwanza pole sana na pili nitake radhi
Leo Gazeti la Nipashe NA.043956 la tarehe alhamis oktoba 16,2008
ndilo nililopata mimi Mzalendo kama wewe Labda Nipashe wametoa nakala mbili
lakini kwenye site ya IPP hiyo habari hipo click hapa Msafara wa JK wapigwa mawe

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu