Friday, November 21, 2008

The Ngoma Africa Band bado ni moto wa kuotea mbali

Feed toka Bongocelebrity Filed under: Burudani, Muziki, Single/Mpya — bongocelebrity @ 8:09 pm
Tags: , ,

ngoma-africabc1

The Ngoma Africa Band(pichani),bendi ya muziki wa dansi yenye makao yake nchini Ujerumani bado wanaendelea kuwa mabalozi wetu wazuri katika anga za muziki na burudani hususani katika nchi za Ulaya.

Hivi karibuni wamekuja na wimbo unaokwenda kwa jina la Baba wa Kambo ukiwa ni utunzi wake kiongozi wa bendi hiyo Ebrahim Makunja aka Ras Makunja. Wimbo umeimbwa na yeye mwenyewe Ras Makunja akishirikiana na mpiga solo guitar wa bendi hiyo Chris B.

Unaweza kuusikiliza wimbo kwa kubonyeza hapa.Sikiliza jinsi The Ngoma Africa walivyopeleka kesi kwa Mkuu wa Wilaya ya Tegeta,Issa Michuzi. Salamu kwa wote huko Ujerumani wana The Ngoma Africa Band.

Kwa habari zaidi tembelea hapa au tumia hii http://bongocelebrity.com/


  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu