Tuesday, December 9, 2008

Kukumbushia sio kosa Kosa ni kuwa Fisadi

Wewe Kaa vizuri ili Fisadi ..........

Siasa ni mchezo mchafu kumbuka uchaguzi wa kenya jinsi wanasiasa walivyouchafua eti, kung'ang'ania uongozi na walalaoi wafe. Na leo wanataka kuhukumiana na kuwekeana vidole vya machoni eti huyu ndiye aliyeanzisha bila kujua hilo ni kosa tena kubwa kwani Kenya ilivyo basi ndio itakuwa cheche za ukabila na chuki kati ya wakenya wenyewe kwa wenyewe.Ndugu zangu Wakenya chonde chonde matatizo ya ndani yanamalizwa na wakenya wenyewe, chonde chonde bado mna nafasi kubwa tu kuyamaliza matatizo yenu bila kupelekana mahakamani na bila kumwita mwenzio mchawi. Mimi simo kwanza nipo Tz nchi yenye amani na chaguzi zake zote ni amani tupu
Sio mmoja akishwindwa basi unalazimisha mhmnnnn....

Chacha Wange tunamkumbuka pia....
Kumbuka Masanja na Babu unakumbuka kichupa kilichomtesa Masanja ...
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu