Tuesday, January 27, 2009

MZIMU WA DANSI KUHIBUKIA UFINI!



Sio lahisi kwa mwanamziki kukwepa majina ya usanii jina lake kamili

Ebrahim Jumanne Makunja,aka Ras Ebby Makunja,aka Bw.Kichwa Ngumu,

alimaarufu "Kishoka" kinachopasua mibuyu mikubwa! aka MM "man Makunja! au Mtunzi mchokozi,kiongozi wa Ngoma Africa panapokaangwa mbuyu na kuwachia wenye meno kutafuna! MZIMU wa Mziki wa Dansi,

(Pichani),atakiongoza kikosi chake cha "The Ngoma Africa Band" jukwaani !katika onyesho kubwa la "Festa Africa Jam"litakalo fanyika katika mji wa Tampere,Finland siku ya 7 February 2009,

Bendi hiyo yenya tabia kuwachezesha mchakachaka wapenzi wa mtindo"Bongo Dansi" inatarajiwa kupanda jukwaani

majira ya jioni siku hiyo,mtindo huo wa mzimu"dansi la Bongo" ambao umefanikiwa kuwaganda vichwani washabiki wengi barani ulaya na afrika unatarajiwa !kufanya kazi moja tu !nayo ni kutoa burudani ya kufa mtu mjini Tampere.

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu