Friday, May 8, 2009

Majambazi na polisi watupiana risasi katikati ya kariakoo leo asubuhi

Land Rover la polisi likiwa na damu ya jambazi mojawapo
Wananchi wakiwashangilia polisi kwa kazi nzuri ya kumkata jambazi mmoja
Mtaa huo ulikuwa apiti mtu leo kwani, inasemekana majambazi yalikimbilia katika ghorafa mojawapo iliyokuwa bado inajengwa
Wabongo kama kawaida yetu macho mbele mita mia
Posted by Picasa

0 Maoni yako/Post comments here:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu