Radio Uhuru - private, in Dar es Salaam and other cities
Kiss FM - private, in Dar es Salaam and other cities
Clouds FM - private, in Dar es Salaam and other cities
Orkonerei Radio Service (ORS) - community, operated by non-governmental agency
Voice of Tanzania-Zanzibar - state-run radio on Zanzibar
News agency
walter
Kennedytz Tv
Loading...
Search This Blog
Loading...
Misemo na ujumbe wa vijembe
+Fanya Bifu na Ukimwi na sio bina-adamu mwenzio >Akupedaye katika shida ndiye rafiki wa kweli >Usilie kwa kupigwa lia kwanini umepigwa > Kucheka sio dalili ya wema kwa mwenzio >Hata mbuyu ulianza kama mchicha >Nyumba ya udongo haipigwi deki
> KAMA UNAYO HAKI UNASTAHILI KUPEWA KAMA HUJAPEWA DAI
> KAMA HUKUBALI KUSHWINDWA KWANINI UNASHINDANA > UJANJA UKIZIDI UNAKUWA MSHAMBA > MJINGA AJIJUI > MWISHO WA BIASHARA YOYOTE NI FAIDA AU HASARA > KILA TAALUMA INA WATAALAM WAKE
> Kidogo cha kwetu kingi cha kwenu >ndondo sululu >Mpe Akupaye, Ukimpa Asiyekupa Ni sawa na Kutupa >anayetaka hachoki hata akichoka kashapata >He who wants does not tired when he tired he has what he wants. >Usiyavuke maji usiyoweza kuyaoga. > Do not cross water that is too deep for wading. .Afadhali akutembeleaye kuliko akutumiaye salaam >The one who visits you is better than the one who sends you greetings >Kazana kulima, vyakupewa havitoshelezi >Struggle farming, what's given to you doesn't satisfy your needs >Mwanga mpe mtoto kulea. >Give a wizard a child to bring up. >Utundu wa utotoni Si ukweli wa Ukubwani > Asila ni rafiki aliye adui >Furaha ya kondakta abilia > Kilichopinda ukikipinda unakivunja >Nyama ngumu ngumu zaidi kwa kibogoyo >Thamani ya Kondoo ni mkia wake >Ukimdai mkorofi usimwambie lini unakwaenda! >Palipo hacha kuwasha si pa kujikuna >Dume la Mbuzi halichagui Zizi >Hata jogoo alikuwa yai > Kazi ya Mwongo Haina likizo >Kama unataka mimi ninyamaze na wewe nyamaza pia >Ukimuona kobe juu ya mti basi kapandishwa >Anayependa kuonja basi si mnunuzi >Anayecheka bila sababu ni mwenye jino la dhahabu >"Bahati ni upepe sasa upo kwangu" >Dunia bulange pesa pozisheni >Wingi wa upendo ndio uchache wa chuuki na fitina >Ni bure zenu jjuhudi, yetu hamuyawezi >Wewe ukila sebuleni, sisi tuko jikoni >Wale wanonesha bidii, ndio wanaosaidiwa kwanza >Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili >Heri ya wachawi mara 200 kuliko mnafiki mmoja >kama Mungu amepanga hakuna wa kuchukua >Ulimwengu una maana ya onyeshe la mema machache na maovu mengi yaliyoenea kwa kujificha >Mwisho wa Ubaya ni aibu >Kumsaidia mtu ni maamuzi ya mtu mwenyewe >Talaka ya hawala ni makofi >Shida ingekuwa sumu tungekufa wengi >Heshimu mjinga ili uepuke balaa >Ukipata buzi lichune vizuri ukiambukizwa ukimwi usinune >Mabaya yanasemwa kila siku lakini..... >Maskini afilisiki >"ukiona unajamba basi utachafua mazingira" >Unga gunia! Mchele gunia! Maharagwe gunia! kazi kwako? >Not everything that counts can be counted, and not everything that can be counted counts
3 Maoni yako/Post comments here:
Mheshimiwa waziri mkuu amekemea maswala ya jamii kwa upeo mzuri. Ningependa kama angeendelea kukemea hivyo hivyo hata nje ya bunge..
Nawasilisha
Waziri mkuu,
Aaache kuingilia mambo yasiyo muhusu ,fasihi ni kioo cha jamii na ubadilika kutokana na muda !
be entertained
Post a Comment