Monday, February 21, 2011

DAR MPAKA MORO _DODOMA-SINGIDA-IGUNGA-NZEGA-KITITI-SHINYANGA MPAKA MWANZA

Asalam ndugu wadai wa Kennedytz

Niliwajibika kidogo kikazi

Leo tena nimerejea ktk jiji la dar.

Safarii ilikuwa yenye mafanikio, yote hayo yanatokana na maombi yenu kwangu.

Siku inayofuata tutakuwa wote kama kawa.

SINA MENGI
NACHOWATIKIA UPENDO KWA KILA MMOJA

Wenu Kennedytz

1 Maoni yako/Post comments here:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu