Thursday, February 9, 2012

Sakata la mgomo wa madokta lapelekea waziri na katibu mkuu wake kusimami...Maendeleo ya Mgomo wa madaktari nchini Tanzania yamesababisha waziri wa wizara ya afya na katibu wake kusimamishwa na jeshi la polisi kuchunguza kulikoni'

Kuanzia kesho madaktari wote watakiwa kuanza kazi mara moja ili kupunguza giza nene kwa wagonjwa katika hospitali mbalimbali ndani ya Tanzania.

0 Maoni yako/Post comments here:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu