Thursday, July 5, 2012

MNYIKA NA SIASA YA TANZANAI NA MALENGO YAKE KAMA KIONGOZI BORA NA SI BO...
Katika viongozi vijana ninaowafuatilia kwa karibu basi mmoja ni mbunge wa ubungo.
Kila atua anayopiga katika siasa kwangu ni kile kilicho bora katika safari yake ya siasa
Sio kwa vile yupo chama fulani, ninachovutiwa ni mikakati na msimamo wa kuchambua masuala kwa mapana wigo na upeo.

Mimi si mfuasi wa chama aliko bali ni mtu nayewafuata viongozi wenye msimamo na mikakati endelezi kama  mbunge wa ubungo  Mnyika.

Nampongeza yeye na viongozi wenye mfano kama wake, kwani ubora wa kiongozi ni kulijenga taifa na si kubomoa.

0 Maoni yako/Post comments here:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu