Thursday, September 10, 2015

2 Hata ukatega sikio lako kusikia hekima,Ukauelekeza moyo wako upate kufahamu;

3 Naam, ukiita busara,Na kupaza sauti yako upate ufahamu;

4 Ukiutafuta kama fedha,Na kuutafutia kama hazina iliyositirika;

5 Ndipo utakapofahamu kumcha BWANA,Na kupata kumjua Mungu.

6 Kwa kuwa BWANA huwapa watu hekima;Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu;

7 Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili;Yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu;

0 Maoni yako/Post comments here:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu