Monday, September 14, 2015

6 Sikiliza, ni sauti ya mtu asemaye, Lia!Nikasema,Nilie nini? Wote wenye mwili ni majani,Na wema wake wote ni kama ua la kondeni;

7 Majani yakauka, ua lanyauka;Kwa sababu pumzi ya BWANA yapita juu yake.Yakini watu hawa ni majani.

8 Majani yakauka, ua lanyauka;Bali neno la Mungu wetu litasimama milele.

9 Wewe uuhubiriye Sayuni habari njema,Panda juu ya mlima mrefu;Wewe uuhubiriye Yerusalemu habari njema,Paza sauti kwa nguvu;Paza sauti yako, usiogope;Iambie miji ya Yuda, Tazameni, Mungu wenu.

10 Tazameni, Bwana Mungu atakuja kama shujaa,Na mkono wake ndio utakaomtawalia;Tazameni, thawabu yake i pamoja naye,Na ijara yake i mbele zake.

0 Maoni yako/Post comments here:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu