20 For where two or three are gathered together in my name, there am I in the midst of them. 21 Then came Peter to him, and said, Lord, how oft shall my brother sin against me, and I forgive him? till seven times? 22 Jesus saith unto him, I say not unto thee, Until seven times: but, Until seventy times seven. 23 Therefore is the kingdom of heaven likened unto a certain king, which would take account of his servants.
Tuesday, August 25, 2015
We.-17-18-19
17 Maana ufalme wa Mungu si kula wala kunywa, bali ni haki na amani na furaha katika Roho Mtakatifu. 18 Kwa kuwa yeye amtumikiaye Kristo katika mambo hayo humpendeza Mungu, tena hukubaliwa na wanadamu. 19 Basi kama ni hivyo, na mfuate mambo ya amani na mambo yafaayo kwa kujengana.
Posted by Kennedytz at 8/25/2015 12:17:00 PM
Sunday, August 23, 2015
Joseph Sinde Warioba Katika ufunguzi wa Kampeni za CCM.
Posted by Kennedytz at 8/23/2015 11:31:00 PM
Magufuli asema
Mgombea urais wa CCM Magufuli asema atawalinda wana habari.
Wana habari wote lao ni moja kuelimisha na kufikisha habari kwa njia tofauti.
Posted by Kennedytz at 8/23/2015 06:37:00 PM
Magufuli katika ufunguzi wa kampeni za CCM.
Mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi akiwahutumia mamia ya wanachama wa CCM viwanja vya jangwani jijini Dar es salaam.
Posted by Kennedytz at 8/23/2015 06:11:00 PM
Saturday, August 22, 2015
Sumaye ajiunga na ukawa
Waziri mkuu wa zamani Federikc Sumaye amehama CCM na kujiunga na Ukawa.
Amesema chama atakitaja mbele kwa mbele.
Posted by Kennedytz at 8/22/2015 03:23:00 PM
Friday, August 21, 2015
Thursday, August 20, 2015
Sunday, August 16, 2015
Isaya
13 Na watoto wako wote watafundishwa na BWANA; na amani ya watoto wako itakuwa nyingi. 14 Utathibitika katika haki; utakuwa mbali na kuonewa, kwa maana hutaogopa; na mbali na hofu, kwa maana haitakukaribia.
Posted by Kennedytz at 8/16/2015 11:42:00 PM
Y-21--15
15 Basi walipokwisha kula, Yesu akamwambia Simoni Petro, Je! Simoni wa Yohana, wewe wanipenda kuliko hawa? Akamwambia, Naam, Bwana, wewe wajua kuwa nakupenda. Akamwambia, Lisha wana-kondoo wangu.
Posted by Kennedytz at 8/16/2015 07:17:00 PM
Friday, August 14, 2015
Buhari na kasi zidi ya Boko Haram
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari. Amewapa wakuu wapya wa majeshi miezi mitatu kuwamaliza kundi la kigaidi la Boko Haram.
Buhari ametoa amri hiyo wakati wa kuwaapisha viongozi wa kijeshi aliowateua mwezi uliopita.
Buhari alisema atatoa vifaa vinavyoitajika ili kufanikisha ushindi.
Lakini amewataka kufuata sheria wakakati wa mapigano na magaidi
Nigeria's President Muhammadu Buhari has given his new military chiefs a three-month deadline to defeat militant group Boko Haram. Buhari gave the order at a swearing-in ceremony for the new service commanders he appointed last month. He said he would give troops the necessary resources to achieve the feat but urged them to abide by the law when fighting the militants.
Picha na habari toka CCTV Afrika.
Posted by Kennedytz at 8/14/2015 09:51:00 AM
Labels: kennedytz.blogspot.com
Thursday, August 13, 2015
Methali
1 My son, forget not my law; but let thine heart keep my commandments: 2 For length of days, and long life, and peace, shall they add to thee.
Posted by Kennedytz at 8/13/2015 08:37:00 PM
Methali 3-1-2
Mwanangu, usiisahau sheria yangu,Bali moyo wako uzishike amri zangu.
Maana zitakuongezea wingi wa siku.Na miaka ya uzima, na amani.
Posted by Kennedytz at 8/13/2015 08:37:00 PM
Wednesday, August 12, 2015
How Google Translate Makes Signs Instantly Readable - #NatAndLo Ep 3
Posted by Kennedytz at 8/12/2015 09:33:00 PM
Picha ya Scott Kelly - ISS
Mwanasayansi Anga za juu wa NASA Scott Kelly
(@StationCDRKelly), Akiwa ndani ya chombo cha Anga za Juu.
Iinternation Space Station.
Alipiga picha hii na kuisambaza kwa wana habari. 2015 mwezi wa nane tarehe kumi, kupitia Nasa.
Picha toka NASA.
Posted by Kennedytz at 8/12/2015 04:33:00 PM
Labels: Copyright 2007 kennedy blog. All rights reserved Aksante
Monday, August 10, 2015
W1-27-30
27 bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu;
28 tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko;
29 mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu. 30 Bali kwa yeye ninyi mmepata kuwa katika Kristo Yesu,
Posted by Kennedytz at 8/10/2015 07:51:00 PM
Sunday, August 9, 2015
For I know nothing by myself; yet am I not hereby justified: but he that judgeth me is the Lord. 5 Therefore judge nothing before the time, until the Lord come, who both will bring to light the hidden things of darkness, and will make manifest the counsels of the hearts: and then shall every man have praise of God.
Posted by Kennedytz at 8/09/2015 08:28:00 PM
4 Maana sijui sababu ya kujishitaki nafsi yangu, lakini sihesabiwi haki kwa ajili hiyo; ila anihukumuye mimi ni Bwana. 5 Basi ninyi msihukumu neno kabla ya wakati wake, hata ajapo Bwana; ambaye atayamulikisha yaliyositirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo kila mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.
Posted by Kennedytz at 8/09/2015 08:28:00 PM
Uvutaji wa sigara barazani.
Posted by Kennedytz at 8/09/2015 07:28:00 PM
Labels: All rights reserved photo by my Mobil, Copyright 2007 kennedyt
Samaki Mbawasu
Posted by Kennedytz at 8/09/2015 07:20:00 PM
Labels: Copyright 2007 kennedytz.blogspot.com. All rights reserved