Thursday, September 13, 2007

HUYU NDIYE KIBOKO YA ZE COMEDY "Jina lake Babu"


















Huyu jamaa ndiye star wa kipindi cha leo tarehe 13/09/07

Jamaa anacho kipaji sio mchezo leo kasema anaitwa babu

bwana wewe unasemaje mambo anayofanya babu

Lakini pamoja na yote mazuri yanayofanywa na wana ze comedy

Yupo jamaa mmoja jina Seki Huyu ndiye anayeleta rahaa kwa wabongo

kwa kutengeneza hiyo ze comedy chukua tano seki Hapo ni

mwanzo baba kaza buti mwanangu

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu