Tuesday, September 11, 2007

Wale wakazi wa Mwanza wanaweza kushtuka kidogo


Haya ndio Maajabu ya Mungu yanapatikana Norway sio Mwanza tu
ndio kuna mawe yaliojipanga kwa mvuto
Katika Dunia Hii ambayo muumba ni mmoja
yeye ndiye alipanga Dunia itakuwa vipi
Hebu angali maeneo yanavyotunzwa kwa umakini
yanapendeza kwa kweli Je sisi tunashindwa nini na Mwanza yetu!



Picha zote Tumetumiwa na Mtanzania ambaye
yupo Norway akienjoy vivutio hivyo
Kwa niaba yangu namshukuru mtanzania mwenzetu
Ninachomuambia Don't forget home

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu