Sunday, January 13, 2008

Kila kipaji unacho wewe mwenyewe

Mtanzania Rasta anayejua kutunza Nywele zake
Ukikukutana naye unaweza dhani ameweka mti juu ya kichwa

Lakini ni nywele zenye matunzo
amekuwa akisafiri kwenda visiwa vya Comoro
katika mambo ya utalii, hayo yote yanatokana
na nywele zake zenye matunzo na mvuto kwa watu

Kama unamtafuta wasiliana
nami yupo fiti Mambo ya utalii
na mengi tu
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu