Friday, January 18, 2008

Magazeti ya Tz



Habari::Utamaduni wa kutoa medali,changamoto ya ufanisi ::: MWACHANGWA Mganga wa tiba asili anayeuenzi utamaduni wa Tanzania ::: Wakulima Mvomero wafunzwa kilimo cha umwagiliaji ::: Sababu za upungufu wa chakula vijijini zaelezwa ::: CCM yaombwa iishauri serikali kuwalipa askari wa zamani ::: Sekondari Korogwe kujenga hosteli ya walimu ::: Ajali Dar zaua watu wawili ::: Wakazi Dar kupata umeme mdogo mchana ::: Same kujenga madaraja maeneo ya milimani ::: Moto wateketeza vibanda 12 vya biashara Iringa ::: Mwanakijiji afungwa miaka 30 kwa kubaka ::: Viongozi wa siasa waaswa kusimamia ilani ::: RC ashauri wataalamu kutatua matatizo ya jamii ::: Polisi Tanga wawasaka wauza mihadarati mitaani ::: Ofisa ugavi Mbeya mbaroni kwa wizi wa magari ::: Uchunguzi wa walio kwenye orodha alizokabidhiwa JK uharakishwe ::: Makamba asisitiza CCM kujiimarisha mwaka huu ::: Halmashauri zina matumizi mabaya ya fedha - Kigoda ::: Waziri Mkuu Ireland akagua miradi ya wafadhili ::: Kikwete aunga mkono ukaguzi balozi za Tanzania ::: Wengine waiige Marekani ili tung’oe mzizi wa ubadhirifu huu wa BoT ::: Kinga na kinga ndipo moto uwakapo ::: Forodhani Park, Zanzibar kufanyiwa ukarabati mkubwa ::: Elimu Masafa, njia mbadala kukabili uhaba wa walimu ::: Mama Kikwete atembelea umwagiliaji mpunga Pwani ::: K’njaro kutumia bilioni 5/- kuimarisha kilimo ::: Miradi ya bilioni 100 yasajiliwa Kaskazini ::: Maabara ya virusi vya Ukimwi kwa watoto faraja kwa taifa ::: Machafuko ya kisiasa Kenya yanavyoathiri elimu ::: TBS na changamoto ya kudhibiti bidhaa za nje :::
Mkazi wa Kibamba Hospitali eneo la Luguruni, akifurahia pamoja na wakazi wengine wakati Waziri wa Aridhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, John Magufuli, alipozungumza nao kuhusu ufafanuzi wa eneo hilo kuingizwa katika mradi wa maendeleo ‘Satellite Town’ jana.

Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu