Thursday, March 27, 2008

Mvua Mvua Mvua Jamani

Mhnhnnn Maji ndiyo hayo kazi kwa wenye makazi yaliyopo kwenye njia za maji
Dogo amechoka, kwani anafikilia leo pa kulala hakuna labda kwa jirani mwenye huruma
Maji magotini mamie anajaribu kutoka katika maji kwenda ufukweni mhnnn ipo kazi ndio Bongo
Cha kujipa moyo kwa Bush pia kuna mafuriko sijui ngoma droo au sema mdau!
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu