Friday, March 28, 2008

Wananchi wapinga wabunge kuongezewa mishahara

HABARI Bondia atinga nusu fainali Namibia ::: Stars yaifuata Harambee Stars ::: Mahakama yamsafisha Rage ::: Rais Kikwete amesema kweli, wakombozi wa waandishi ni waandishi wenyewe ::: Ipo haja ya kuwawezesha askari kukabili ujambazi ::: Dk. Slaa kuanza kujitetea Jumatatu kesi ya uchaguzi ::: RC aagiza Mtendaji wa Kata achukuliwe hatua ::: Salma Kikwete ataka mila zinazobagua zipigwe vita ::: Mwanafunzi kortini kwa kubaka Dar ::: Kikwete ataka zahanati zinazotembea vijijini ::: Mbao za magendo za mamilioni zakamatwa ::: Wanafunzi uanasheria hatihati kuanza masomo ::: Norway kusaidia bilioni 1.8/- sekta ya asasi za kiraia ::: Wachezaji Moro Utd wawakingia kifua wenzao ::: Kiongozi wa soka Mbeya atishiwa ::: ‘Sijashindwa kuwasilisha ushahidi’ ::: Allen Mapigo aswekwa rumande ::: Uchunguzi mwingine wa ufisadi BoT waanza ::: Mvua yaua watoto wawili Dar ::: Kenya wamuita tena Annan ::: Inahitajika elimu sahihi kukabili kifua kikuu ::: Kwa watu masikini elimu ni chombo cha ukombozi ::: Chanjo ya Ukimwi bado yawatesa wanasayansi ::: ‘Watendaji wa serikali acheni kufanya kazi kwa mazoea’ ::: Serikali haijaamua kuuza nje gesi ya Mnazi Bay – Waziri ::: Serikali haijaamua kuuza nje gesi ya Mnazi Bay – Waziri ::: Afrika yatakiwa ivute subira kuhusu chanjo ya Ukimwi ::: Waandishi washauriwa kuzingatia haki za watoto ::: Kinyerezi wahakikishiwa kutobomolewa nyumba ::: Hongera JWTZ na AU kwa kuikomboa Anjouan :::

Alhamisi Mar 27, 2008
Magari yakiwa katika foleni katika makutano ya mitaa ya Azikiwe na Samora, kutokana na maeneo kadhaa ya barabara kujaa maji na kusababisha msongamano kila kona ya Jiji la Dar es Salaam jana.
HABARI INAYOONGOZA LEO::
Uchunguzi mwingine wa ufisadi BoT waanza
*Wahusu bilioni 420/- za ghorofa pacha BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imeamua kuanzisha uchunguzi juu ya gharama halisi za

Habari za kawaida
Vigogo chama tawala Tanzania( CCM) wakiweka mataji ya maua katika kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, nyumbani kwake Mwitongo, Butiama kabla ya kuanza mkutano wao.
Wananchi wapinga wabunge kuongezewa mishahara
Mbunge avunjika mguu akipanda rifti kuingia mkutanoni
Makontena ya mbao kwenda China yazuiwa bandarini Dar
Polisi wazuia maandamano ya Chadema kufika kwa mkuu wa mkoa
Mvua kubwa yasababisha vifo Jijini Dar es Salaam
Chuo Kikuu Dar chazindua Taasisi ya Sheria
Mshtakiwa adai kuuza bangi kukabili ugumu wa maisha
Serikali yatangaza Zanzibar haina sifa ya kuwa jiji
Habari za michezo/Burudani

Makamu Mwenyekiti wa soka Tanzania, Ismael Aden Rage, ameshinda rufani.

Kocha Maximo ateua Taifa Stars kumenyana na Kenya
Ismail Aden Rage ashinda rufaa aachiwa huru
Mabondia watatu wa Tanzania waonyesha matumaini Namibia
Mvua kubwa yapoka Sh40milioni za pambano Taifa Stars, Msumbiji
Kampuni ya Bia (TBL) kutumia mamilioni kufufua Taifa Cup
Simba wakana kupanga njama kuihujumu Enyimba ya Nigeria
Maximo: Jitihada zitawavusha Simba na Yanga
Kiongozi wa Klabu ya Yanga asifu mfumo mpya wa ligi


Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu