Wednesday, April 30, 2008

Maji yanapofanya kazi yake

Mpanda Basikweli akiwa ametupwa kwenye maji na maji yenye kasi
Hapa vijana wenzake wakimsaidia kumtoa kwenye maji yeye na mzigo wake
Macho yapo nyuma ya Basikweli yake
Hapa waliomtoa katika maji wakibeba basikweli yake iliyobebwa na maji

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu