Wednesday, May 21, 2008

HABARI Emirates shirika bora la ndege Tanzania ::: Ilala yatinga nusu fainali ::: CCM kukata rufani kesi dhidi ya Dk. Slaa ::: CUF yatoa masharti kumtambua Karume ::: Makete wajipanga kuimarisha uchumi ::: Mchanganuo wa miradi kikwazo cha wajasiriamali kupata mikopo ::: ‘Wavuvi tupewe mikopo tuliyoahidiwa na serikali’ ::: Pato la Taifa laendelea kukua .Wastani wa pato la mtu sasa ni 600,000/- ::: Mwinyi kupanda Kilimanjaro ::: Uzalishaji Nyanda za Juu Kusini kupungua ::: Mbunge amsaidia mwanafunzi mlemavu ::: Kenya yawataka Watanzania michezo ya kitaifa ::: Nyota wa kikapu Marekani kuzuru Arusha ::: Serengeti yazindua kampeni kuiunga Stars ::: Afrika Kusini komesheni mauaji ya jirani zenu ::: Mwenyekiti AU kemea unyama wa Afrika Kusini ::: Benki ya Afrika kufungua tawi Arusha mwaka huu ::: Washindi Tigo lotto wakabidhiwa zawadi ::: Wakulima wa miwa waomba wafutiwe VAT ::: Kumbukumbu ya Mv Bukoba leo ::: Maofisa Kenya wajifunza utendaji wa Jiji Dar ::: Miradi yakaguliwa kwa athari za mazingira ::: Afa akiogolea mto Mara ::: Mwongoza watalii maarufu Mlima Kilimanjaro apotea ::: Wataalamu wa wizara waonywa ::: Morogoro yazuia mabasi kupita saa nne usiku ::: Maandalizi mafunzo askari wa Somalia yakamilika ::: Misri kusaidia Chuo Kikuu cha Waislamu ::: Mfumuko wa bei wawekwa bayana ::: Waliouziwa nyumba za Serikali wabanwa :::
Jumanne Mei 20, 2008
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Zanzibar, Khamis Jabir (katikati), akipata maelezo kuhusu wanyama waliohifadhiwa katika makumbusho ya Viumbe hai ambao wako hatarini kutoweka, katika sherehe zilizofanyika Zanzibar juzi. Kushoto ni Meneja Udhamini wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Emillian Rwejuna, katika hafla hiyo. Vodacom ni miongoni mwa wadhamini wa maonyesho hayo. (Na Mpigapicha Wetu)
HABARI INAYOONGOZA LEO::

CUF yatoa masharti kumtambua Karume
“Sisi hatuna tatizo la kumtambua, lakini tutafanya hivyo akikubali kuunda serikali ya kitaifa kabla ya uchaguzi wa 2005,”


Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu