Thursday, May 22, 2008

Ikulu yathibitisha kifo cha Balali

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimina na watumishi wa Ubalozi wa China nchini, alipokwenda kutia saini kitabu cha maombolezo jijini Dar es Salaam jana, kufuatia vifo vya maelfu ya watu waliokufa kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea katika jimbo la Sichuan. Kushoto kwake ni Balozi wa China nchini, Liu Xinsheng. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
HABARI INAYOONGOZA LEO::

Ikulu yathibitisha kifo cha Balali
Ikulu imekiri kupokea taarifa za kifo cha aliyekuwa gavana wa Benki Kuu (BoT), Daudi Ballali.

Tahariri
Tujipange kuhimili kuyumba kwa uchumi
Habari za kitaifa
Mtoto afa kwenye ugomvi wa mama na baba
Waziri wa Maji Misri aeleza nia ya kuja nchini
Mtuhumiwa aeleza alivyokuwa akiishi kwa hofu Rwanda
Ukimwi wapungua nchini
Makaburi ya Igoma yawa maficho ya wahalifu
Serikali yaomba muda zaidi rufani ya mgombea binafsi
Marais kujadili serikali moja Afrika
Ikulu yathibitisha kifo cha Balali
Uchambuzi
Ukusanyaji takwimu uwe endelevu usisubiri kuja kwa viongozi
Mwenyekiti AU kemea unyama wa Afrika Kusini

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu