Wednesday, May 28, 2008



Habari za kawaida
Sikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mwenyekiti wa Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI) , Reginald Mengi (kulia) baada ya kufungua kongamano la� nne kuhusu sekta ya nishati nchini � kwenye hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam jana. PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU.
Mkapa achokoza nyuki
Pinda aomba msaada kukabili mafisadi
Kuhani matanga ya Ballali kwa kibali
Shahidi adai Zombe alitishia kumua
Ripoti yaanika madini yanavyotoshwa
CCM yalaani tamko la CUF
Mawakili kuwasilisha pingamizi wizi NMB
Wajawazito Z'bar wajifungua gizani
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu