Wednesday, May 7, 2008

  • Wabia wake wamekuwa na nguvu kuliko yeye
  • Ameendelea kuwabeba mawaziri wenye tuhuma
  • Ameendekeza propaganda, akasahau kuchapa kazi

Toleo Na. 095

Na Saed Kubenea
Serikali ya Rais Jakaya Kikwete imechukuliwa na msukule. Wananchi wanajiuliza: “Mbona urais kwa Kikwete umekuwa mgumu kinyume cha matarajio yao?”
Tahariri
Tumesoma katika vyombo vingine vya habari kwamba mfanyabiashara kigogo na Mbunge wa Igunga, Rostam Azizi, amefungua kesi dhidi ya gazeti hili la wananchi-MwanaHALISI...
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Nazir Karamagi “amejinyonga.” Hawezi kupata kile alichoahidi kukitoa bungeni. Chenyewe, kwa mujibu wa Sheria na Katiba, ni siri isiyotoleka hadharani...
Na Saed Kubenea
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilitishiwa “nyau” na mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, na kikatishika. Alichotaka kukiwasilisha bungeni, hakikuwa na nguvu za kuadhirisha Bunge wala CCM, MwanaHALISI limegundua...
Na Iddy Mkwama
Watanzania kwa sasa wapo vitani. Wameingizwa kwenye uwanja wa vita bila ya kujijua. Ni vita baridi isiyotumia risasi wala mabomu...
Na Mbasha Asenga
Nikiri kwamba mimi si mtaalamu wa nyota na kwa maana hiyo nitakayoyajadili hapa, si suala la unajimu. Naangalia mambo halisi yanayotokea nchini petu...
Na Stanislaus Kirobo
Maneno matupu ya Rais Jakaya Kikwete kuhusu ufisadi yanachosha. Nina imani wananchi wanaamini hivi kwa sasa baada ya kuona maendeleo madogo ya juhudi za kuwaondoa katika umasikini...
Na Jabir Idrissa
Andaa swali hili: Taja orodha ya mambo ya Muungano. Irudufu karatasi ili upate nakala nyingi na ugawie wabunge pale mjini Dodoma. Nyingine wapatie wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, mjini Zanzibar ...
Na Iddy Mkwama
“Haiwezekani bahari yetu igeuke kuwa kama shamba la bibi kila mtu anaingia na kuvuna chochote anachotaka bila kukatazwa na mtu yoyote, nasema wizi huu sasa unafikia kikomo”...
Mheshimiwa Spika, nashukuru kwa kunipatia nafasi hii ya kuzungumza mbele ya Bunge lako tukufu ili niweze kutoa maelezo na vielelezo kuthibitisha hoja nilizotoa katika mchango wangu wa maandishi nilioutoa katika kikao kilichopita cha Bunge wakati wa mjadala wa Ripoti ya Kamati Teule ya Bunge...
Na Sulemain Abasi
Mbio za baiskeli kwa mkoa wa Pwani zinategemewa kuanza kesho. Wachunguzi wa mambo wanasema hii haitakuwa kama kawaida tulivyozoea...
Na Saed Kubenea

SERIKALI ya Rais Jakaya Kikwete imechukuliwa na msukule.

Wananchi wanajiuliza:

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu