Thursday, June 12, 2008



Rais Jakaya Kikwete, Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange, wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu, Kanali Wakete, aliyekuwa rubani wa ndege ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania iliyoanguka mkoani Arusha juzi. Miili iliagwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Jeshi Jijini Dar es salaam jana na kusafirishwa kwenda Musoma mkoani Mara kwa maziko. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
HABARI INAYOONGOZA LEO::

Leo ni bajeti
Bajeti ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2008/09 inatarajiwa kusomwa leo bungeni mjini Dodoma, huku kukiwa na
Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu