Friday, June 13, 2008

Waziri wa Fedha na Uchumi Mustapha Mkulo akinyanyua begi maalum alilotumia kuhifadhia nyaraka za bajeti ya serikali kwa mwaka 2008/2009 alipowasili Bungeni mjini Dodoma leo.(Picha na Mroki Mroki).
HABARI INAYOONGOZA LEO::

Ni bajeti ya wananchi
Bidhaa za petroli hazikuguswa katika bajeti mpya iliyoongeza ushuru mbalimbali na badala yake, serikali imependekeza marekebisho

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu