Thursday, July 17, 2008

HABARI Barclays yazindua promosheni ya ‘maisha bomba wajasiriamali’ ::: Kilimo cha mbono marufuku Same ::: Meneja Tanesco Arusha alalamikia miundombinu ::: Kampuni ya mikopo ya nyumba yaanza nchini ::: Miembeni robo fainali ::: Wakali wa pool wawasili ::: ZIFF kusaidia tamasha la Kongo ::: U-17 waalikwa bungeni ::: Hatma ya rufaa ya Mintanga kesho ::: Moro, Kagera zapigwa faini ::: Hukumu ya Ze Comedy Jumatano ::: ….Simba, Yanga zaingiza 174m/- ::: Shein ataka Meatu walime mazao yanayostahimili ukame ::: Kikwete aagiza mikoa ifanye maandalizi ya kidato cha tano ::: Taasisi kutafiti uhusiano wa Ukimwi, kutahiriwa wanaume ::: Zainab Kawawa naye kugombea uenyekiti vijana CCM ::: Wenye mabasi hawajaridhika nauli mpya ::: Seif ajitosa mjadala kuhusu Z'bar ::: Meno ya Sumatra ni butu kwa daladala tukutu ::: Mamlaka zijizatiti kudhibiti ajali majini ::: Mbunge alalamikia ruzuku ndogo kwa walemavu ::: Maofisa Elimu kuzuru kijijini Mbwena kuhusu mabweni ::: TBC kufunga mitambo mipya ya FM mikoa tisa ::: Serikali ya Muungano yatoa bilioni 70/- kwa Zanzibar ::: Mtaji wa Benki Kuu Z’bar wajadiliwa ::: Starehe zinaharibu wanafunzi kitaaluma ::: Eneo la Kisakasaka kuwa dampo Z’bar ::: Iwepo mitaala shuleni ya kufundisha teknolojia wataalamu wazalendo ::: MV Jitihada yafanyiwa matengenezo makubwa ::: Wataka utaratibu siku ya maswali kwa Waziri Kiongozi :::

Jumatano Jul 16, 2008
HABARI INAYOONGOZA LEO:: Mama Mkapa abanwa
Serikali imeombwa kufuatilia madai kwamba mke wa Rais mstaafu Benjamin Mkapa, Anna, anawakata riba kubwa walimu kupitia kampuni


Posted by Picasa

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu