Saturday, July 19, 2008

IJUMAA 18, 2008, Tanzania kwa mara nyingine tena imeshuhudia uhuru wa habari ukiminywa na watawala. Gazeti hili la wananchi lilivamiwa na makachero na kufanya upekuzi kutokana na kile walichoita polisi, “kutafuta akaunti za siri za serikali na viongozi wake.”

Aidha, upekezi ulifanyika pia nyumbani kwa Mkurugenzi Mtendaji na Mhariri Mtendaji wa magazeti hayo, Saed Kubenea.

MwanaHALISI na wote wanaoipenda Tanzania wanalaani kwa nguvu zote uvamizi huo.

Kwa habari na picha zaidi click hapa

Makachero wakimwonesha Kubenea hati ya kusachi ofisi yake

  © Blogger templates 'Neuronic' by Ourblogtemplates.comme google-site-verification=Qm-XNfnL5kai8WV2inT1RRX2WIPaBTG_WPq3kYSBwbgKennedy Kimaro 2008 NYUMBANI NI NYUMBANI TU KUMBUKA KUWEKEZA NYUMBANI LEO

Rudi TOP-Juu